WE VALUE YOUR FEEDBACK TO HELP US IMPROVE OUR SERVICES IN ORDER TO SERVE YOU BETTER.
- Using a scale of 1 to 3 where 3= excellent, 2= satisfactory and 1= unsatisfactory, how would you rank the new ST. JOSEPH MATUU HIGH SCHOOL which is now under new management ? The arears we nee you to evaluate us include but not limited to: SPEED, PROFESSIONALISM, COURTESY, EFFICIENCY and FRIENDLINESS.
- Which arears would you like us to improve ?
- Have you ever recommended our services to a friend ?
THANK YOU FOR TAKING YOUR TIME TO FILL PROVIDE OUR SCHOOL WITH THIS FEEDBACK.
YOU MAY SEND US AN EMAIL OR A HAND WRITTEN LETTER AND DROP IT IN OUR SUGGESTION BOX. ALSO YOU MAY USE OUR HOTLINE +254 722 388 681 , 0736 189 255 OR POSTAL ADDRESS BOX 112-90119 MATUU, YATTA.
=======================THANK YOU======================
ST. JOSEPH MATUU HIGH SCHOOL
FOMU YA MAONI.
TUNAZINGATIA SANA MAONI YAKO YATAKAYOTUSAIDIA KUIMARISHA HUDUMA ZETU ILI KUZIFANYA KUWA BORA ZAIDI.
- Ukitumia nambari 1 hadi 3 ambapo 3= Nzuri kabisa, 2= Zinazoridhisha na 1= Zisidhoridhisha, ungelipenda kutoa maoni yapi kuhusu shule yetu mpya ST. JOSEPH MATUU HIGH SCHOOL ambayo sasa imebadilisha mikono ya wanaoimiliki ? sehemu ambazo tungependelea kupata maoni yako ni kama zifuatazo ingawaje waweza kuoneza zingine pia : KASI, UTAALAMU, NIDHAMU KUTEGEMEWA, URAFIKI.
- Ni maeneo gani ambayo ungetaka tuimarishe ?
- Je, umewahi kupendekeza huduma zetu kwa yeyote mwingine ?
ASANTE KWA KUTENGA MUDA WAKO ILI KUPA SHULE YETU MAONI HAYA.
WAWEZA KUTUMA BARUA PEPE AMA BARUA YA KAWAIDA AMA KUTUMBUKIZA MAONI YAKO NDANI YA SANDUKU LA MAONI. AU UPIGE SIMU NAMBARI +254 722 388 681 , 0736 189 255 AMA UTUME BARUA KWENYE SANDUKU LA BARUA NAMBARI 112-90119 MATUU, YATTA.
=========================ASANTE===========================
No comments:
Post a Comment